September18 2016 Ilitambulishwa Video Mpya Hii ni kitu nyingine kutoka WCB kati ya wakali hawa wanao ipeperusha vizuri bendera ya Tanzania Halafu ni kama Brother & Dogo lake #ChibuDangote /Diamond platnumz na Mzee waku #Tafuta kiki A.K.A. #Rayvanny Wimbo huo mpya unajulikana kama
#"Salome"
kazi ni kwako whatch kuanzia sasa kipande cha A5TV youtube"Iwas Born To Spread Love"
Comments
Post a Comment