December 6 Tuesday Mkali kutoka Tanzania
#Diamond platnumz
& Na mpenzi wake
#Zari The boss lady
Wabahatika kupata mtoto mwingine aliyezaliwa nchini Afrika kusini katika Hospitali ya (NetCare)
ni furaha sana kwa watanzania wote wanaoipenda tasnia ya muziki wa Tanzania na mtoto huyu atakuwa mkali mwingine kutoka Label ya WasafiClassicBaby
Watch#A5tv kila day
&
#Therunnerboy5tv kila day
Spread Love Kila Kona Good news kutoka WCB
&
#Therunnerboy5tv kila day
Comments
Post a Comment