Kampuni moja nchini Marekani iliyokataa kumuajiri mwanamke mwenye asili ya kiafrika Kwa sababu alikataa kuzikata nywele zake za rasta. Mahakama ya rufaa nchini Marekani imetupilia mbali kesi dhidi ya ka Chastity Jones alituma ombi la kazi katika kampuni moja ya kukabiliana na majanga …