Mkali wa Bongofleva tanzania ajulikanaye kama #Darassa akiwa na Director mkongwe ajulikanaye kama #Hanscana Wamenusurika baada yakupata ajali ya gari walikuwa wakitokea maeneo ya Kahama Shinyanga Kuelekea Geita gari waliyopatia ajali ilikuwa ni  Toyota  Harrier  nyeu…