For more Details tembelea

@Instagram.com/the_runner_boy @Instagram.com/the_runner_boy2 @tweeter.com/ferouzrunnerboy @youtube.com/A5tv @facebook.com/ferouzrunnerboy

Name*


Message*

Blog Archive

Songs kaliiiii

Blog Archive

Categories

Kwa matangazo yote

Labels

Labels

Translat any Story in Your Language

Pages

About

About

BTemplates.com

Blogroll

Blogroll

Weekly most viewed

Skip to main content

Uzinduzi wa Mabasi yaendayo Kasi Dr. J.P.M Akiendesha moja ya mabasi hayo








 January 25, 2017 Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr.J.P.M Ali alikwa kama mgeni rasmi katika ufuguzi wa Gari ziendazo kasi yaani Mwendokasi Ufunguzi huo ulifanyika katika kituo kimoja kikubwa cha mabasi hayo Jijini Dar es salaam kijulikanacho kama Gerezani Terminal -Kariakoo Hapa ni wakati akiendesha moja ya mabasi hayo ya Mwendokasi na nnje ni baadhi ya waandishi wa Habari pamoja na Wananchi wakishuhudia Tukio hili.









Rais Dr.J.P.M akipungia mkono pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Makhtar Diop baada ya kutoka kukagua moja ya basi linalotumika katika huduma ya usafiri wa Haraka (DRT)







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia kanda Ya Afrika Maktar Diop wa kwanza kulia wakivuta kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Mabasi yaendayo Kasi katika jiji la Dar es salaam . Wengine pembeni yao ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais -TAMISEMI George Simbachawene pamoja na Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa.

Mradi huu Mwendokasi umesaidia katika kupunguza kero za usafiri Jijini hapa na kadri tunavyozidi kuendelea kero zitaisha na kutakuwa na usafiri wa uhakika usiokuwa na tatizo lolote pia Wameelezea baadhi ya maeneo ambayo usafiri huu unatarajiwa kufika hivi karibuni
Hii ni Video ya Mh. Dr. J.P.M akiendesha Moja ya mabasi Yaendayo Kasi