Mkali wa Music kutoka Tanzania # Baraka da Prince Ameahidi kuachia video ya wimbo wake Mpya ujulikanao kama #Nisamehe Ambao amefanya na Mkali wa Masauti #Alikiba Kwa mara ya kwanza itatambulisha #Mtvbase Ambayo ni 4 October 2016 Hivi soon tu Stay with me isikupite hii …