For more Details tembelea

@Instagram.com/the_runner_boy @Instagram.com/the_runner_boy2 @tweeter.com/ferouzrunnerboy @youtube.com/A5tv @facebook.com/ferouzrunnerboy

Name*


Message*

Blog Archive

Songs kaliiiii

Blog Archive

Categories

Kwa matangazo yote

Labels

Labels

Translat any Story in Your Language

Pages

About

About

BTemplates.com

Blogroll

Blogroll

Weekly most viewed

Skip to main content
Showing posts from September, 2016

Mwanamke anyimwa kazi kwakuwa na Rasta nchini Marekani

Kampuni moja nchini Marekani iliyokataa kumuajiri mwanamke mwenye asili ya kiafrika Kwa sababu alikataa kuzikata nywele zake za rasta. Mahakama ya rufaa nchini Marekani imetupilia mbali kesi dhidi ya ka Chastity Jones alituma ombi la kazi katika kampuni moja ya kukabiliana na majanga …

Zoezi la upimaji afya Mkoa wa Dar es salaam

Zoezi la upimaji wa afya kwa wakazi wa Mkoa wa  Dar es salaam lililoanza siku ya leo Tarehe 24 na litaendelea mpaka Tarehe 25 /09/2016 kwahiyo wananchi tunatakiwa tujitokeze kwa wingi kwani  Vipimo ni Bure na Tiba pia ni bure hii ni chini ya uongozi wa hawamu…

Dance 100% 100% Final

September 24 Dance 100% 100% Inafanyaka Final Viwanja vya  # Don Bosco(Oysterbay) Ikiongozwa na the Guest Judge  # Alikiba /@Officialalikiba  Hii si yakukosa Mtu wangu Pia usisahau Kuwatch Channel ya kijanja kipande cha U2BE #A 5tv Supported by  # The_runner_boy "I was …

A5TV Channel

Hii ni ile channel yako ya kijanja inayopatikana kipande ya youtube inakuletea videos zote kali za Tanzania na nnje ya Tanzania nafikiri hii si ya kukosa na ule wakati wakuhangaika kuzunguka kwenye mitandao bila mafanikio umekwisha sasa tembelea  # A5TV kw…

Diamond Platnumz & Rayvanny - Salome

September18 2016 Ilitambulishwa Video Mpya Hii ni kitu nyingine kutoka WCB kati ya wakali hawa wanao ipeperusha vizuri bendera ya Tanzania Halafu ni kama Brother & Dogo lake #ChibuDangote /Diamond platnumz na Mzee waku #Tafuta kiki A.K.A . #Rayvanny Wimbo huo mpya unajulikana ka…

Natafuta Kiki Video

M kali kutoka WCB anaejulikana kama Raymond / Rayvanny Ameachia video ya wimbo wake  # Natafuta  kiki  Usikose Ku watch kuanzia sasa na wewe utafute kiki Mtu wangu #A5tv ndio Talk of the Town Supported by  # the_runner_boy