Usiku mmoja yalifanyika matukio mawili ndani OCT 22 Nchini Afrika kusini Zilitolewa Tuzo za #MTVMAMA2016
Wakati Nchini #Marekani zikitolewa Tuzo za #A.E.A Na kwenye Tuzo za A.E.A Matokeo yalikuwa kama hivi;-
Katika kipengele cha msanii bora chipukizi walioshiriki walikuwa ni
#Harmonize,Tekno miles,Ziza Bafana,Ayo jay,Missy Bk,Jay Oliver,Den G,Togar Howard
Katika kipengele cha Wimbo bora wa kushirikiana walikuwa ni
#Alikiba akimshirikisha Christian Bella- Nagharamia ,Woju Ya Kiss Daniel Akimshirikisha Davido & Tiwa savage,Obrafour akimshirikisha na Bisa Kdei- Pimpina ,To Semedo Akimshirikiana na Boss Ac -Porque Te Amo,Yemi Alade akimshirikisha Selebobo -Nagode
Kipengele cha Dj Bora ni;-
#Dj Tunez ,Dj Van, Dj D Ommy,Dj Mensah ,Dj Brazao ,Dj BossMan , & Dj JImmy Jatt
Kipengele cha Msanii Bora wa Kiume
#Eddy Kenzo ,Wizkid ,Mc Gallaxy ,Nelson Freitas , Coreon Du , Master Jake & Diamond platnumz

Na Hawa ndio walioibuka washindi katika Tuzo Hizi ambao ni
#Harmonize Kama Msanii bora Chipukizi
#Diamond Platnumz kama Msanii bora wa Kiume
#Dj D Ommy Kama Dj Bora
#A.Y Wimbo bora wakushirikiana
Kiukweli Tanzania bado tunazidi kupanda Chart katika List ya wakali bora Duniani A.E.A awards 2016

Comments
Post a Comment