Mkali wa Bongofleva tanzania ajulikanaye kama #Darassa akiwa na Director mkongwe ajulikanaye kama #Hanscana Wamenusurika baada yakupata ajali ya gari walikuwa wakitokea maeneo ya Kahama Shinyanga Kuelekea Geita

gari waliyopatia ajali ilikuwa ni Toyota Harrier nyeusi yenye namba za usajili T 503 DGQ
Hii ni Video ya Jinsi Gari alivyo haribikahttps://youtu.be/OG54IIdhBes
lakini kwa baraka zake mungu wakongwe hao wawili wako salama
