
Chastity Jones alituma ombi la kazi katika kampuni moja ya kukabiliana na majanga na akaajiriwa
Lakini ilikuwa chini ya sharti kuwa ni lazima akatwe nywele zake.Meneja anayesimamia masuala ya wafanyakazi inasemekana alimwambia kwamba "nywele zake haziendani na sera za kampuni yao inakuwa kama kero kwao"
Tume ya fursa za ajira nchini humo EEOC inayoimani kwamba hatua ya kampuni hiyo ilikuwa kinyume na sharia ya mwaka 1964
Na tume hiyo ya fursa za ajira ilihoji huku ikisema kupiga marufuku rasta kazini ni ubaguzi wa rangi, kwasababu walio na rasta sana ni watu wenye asili za kiafrika
Comments
Post a Comment