Zoezi la upimaji wa afya kwa wakazi wa Mkoa wa Dar es salaam lililoanza siku ya leo Tarehe 24 na litaendelea mpaka Tarehe 25 /09/2016 kwahiyo wananchi tunatakiwa tujitokeze kwa wingi kwani Vipimo ni Bure na Tiba pia ni bure hii ni chini ya uongozi wa hawamu ya Tano ya MH. Raisi J.P.M mungu atupe baraka njema tumalize safari yetu salama

Comments
Post a Comment